KIPEPERUSHI CHA LEAT, APRILI 2014

Sunday, April 20, 2014|Number of views (5795) |Categories: News
Neno LEAT ni kifupisho cha maneno ya Kiingereza "Lawyers’ Environmental Action Team" ambayo kwa Kiswahili ni "Timu ya Wanasheria Watetezi wa Mazingira kwa Vitendo". LEAT ni asasi ya kiraia iliyoanzishwa mnamo mwaka 1994 na kusajiliwa rasmi mwaka 1995 kama asasi ya vyama vya kijamii. Mnamo Novemba 2001, LEAT ilibadili muundo wake na kuwa kampuni isiyokuwa na mtaji wa hisa chini ya Sheria ya Makampuni. Kwa usajili huo katika Sheria ya Makampuni LEAT ni asasi ya kiraia isiyotengeneza faida yenye...

RSS
12
«November 2017»
MonTueWedThuFriSatSun
303112345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930123
45678910